Search

117 results for Anania Kajuni :

  1. Matukio ya ubakaji yazidi kutikisa Mwanza

    Yanafuatiwa na ya mimba ambazo jumla ya wanafunzi 534 wameripotiwa kubeba ujauzito wakiwa suleni kwa kipindi kama hicho.

  2. Dereva basi la Zuberi mbaroni ajali iliyojeruhi wawili Mwanza

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, linamshikilia dereva wa basi la Zuberi, Noel Lushanga (34) kwa kosa la kusababisha ajali baada ya basi hilo kugonga basi dogo aina ya Toyota Hiace na kusababisha...

  3. PRIME Undani sakata la vyama 19 vya wafanyakazi kuunda shirikisho jipya

    Wakati maandalizi ya sherehe za sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) yakiendelea, vyama 19 vya wafanyakazi wa sekta binafsi vinakusudia kuanzisha shirikisho lao, kwa sababu ya kile wanachodai...

  4. PRIME Mpina 'anavyobanana' na CCM

    Miongoni mwayo ni kumshutumu Mpina “kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ya kijimbo na kubaki kupambana na mawaziri”.

  5. Mmoja afariki wawili walazwa Hiace ikigonga watembea kwa miguu

    Ajali hiyo imetokea leo Aprili 24, 2024 katika eneo la Mwananchi barabara ya Mahina jjini Mwanza.

    New Content Item (1)
  6. Wadau wapendekeza mambo 10 marekebisho Sera ya Mambo ya nje

    Wadau mbalimbali mkoani Mwanza wametaja mapendekezo 10 ya kufanyiwa marekebisho kwenye Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 ili kuleta tija zaidi.

  7. Muuza maji aliwa na mamba ziwani

    "Hili tukio sio la kwanza, watu wamekuwa wakikamatwa na mamba sana. Tumeshatoa malalamiko kuhusiana na hawa mamba kwa ajili ya kuja kufanyiwa utafiti ili angalau wauwawe.”

  8. PRIME Ngono, ulevi vinavyorudisha nyuma maisha ya wavuvi Ziwa Victoria

    Wakati hali ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) mkoani Mwanza ikipungua kutoka asilimia 7.2 mwaka 2016/17 hadi asilimia 4.7 mwaka 2021/22, ngono na ulevi vinatajwa kuwaponza wavuvi na...

  9. Polisi kusaka vijana watatu waliomlawiti mwanafunzi

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amemwagiza Ofisa Upelelezi Wilaya ya Nyamagana (OCCID) kuwatafuta vijana watatu wanaotuhumiwa kumlawiti mwanafunzi mwenye umri wa miaka 16...

  10. Mateso ya saa 8 bila umeme, Tanesco yatoa tamko

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeeleza kuwa imetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirishia umeme ya gridi ya Taifa.

Page 1 of 12

Next